Description
Mfumo wa Kupokea Malalamiko wa Kampuni Tanzu ya EIB umetengenezwa ili kuwezesha na kushughulikia malalamiko dhidi ya Kampuni Tanzu ya EIB kutoka kwa yeyote anayehisi kuathiriwa na shughuli zake. Kipeperushi hiki kinatoa muhtasari wa hatua stahiki kuanzia uwasilishaji wa lalamiko hadi kupata matokeo yake.